mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
kwakweli na mimi nimesikitika sana
That wa a very good tool to measure the quality of posts... I MISS DE GROAN BUTTON
Nasikitika kuona kale kakitufe ketu ka groan kimeletewa fitna mpaka kameondolewa,kwani kalikuwa kana kosa gani au madhara gani humu ndani?Mi naona kale kalikuwa kazuri na kanachohamasisha watu kutuma posts zenye akili,kwani hakuna mtu ambaye angekubali kuwekewa groan,hivyo b4 hujatuma post ingekulazimu kuiedit mara nyingi iwezekanavyo ili utume kitu safi na chenye mantiki nzuri kwa jamii,Mods angalieni hili!!
Jamaa walikipigia kelele sana hadi wakuu wakaamua kuiondoa. Me ntakuwa naitengeneza artificially!
Jamani nilikuwa sijaitumia bado.
Mi nadhani wangekaacha ka'GROAN' ila ingewekwa option ya sababu ya ku'groan' kwa atakaye 'groan'. Moderator angetoa ruhusa pia ya members wa JF kuchunguza hizo sababu, kama member zaidi ya ishirini wakigundua sababu sio za msingi nao wakagroan sababu hizo basi huyo member aliyemgroan mwenzake awali ananyang'nywa Thanked 5 na akiishiwa thanked zote anapigwa "Ban" ya miezi miwili kutumia JF......
mnaionaje hiyo..!?
Karikuwa katool kazuri but watu walianza kuabuse kuna mtu jana niona anazimwaga tu kwawatu.
Akiona mtu amewekewa thanx yeye anamalizia na groan, kwa kweli hakunivutia sana na huo mwenendo, ni bora kametolewa!
Karikuwa katool kazuri but watu walianza kuabuse kuna mtu jana niona anazimwaga tu kwawatu.
Akiona mtu amewekewa thanx yeye anamalizia na groan, kwa kweli hakunivutia sana na huo mwenendo, ni bora kametolewa!