Masikini Waalimu!!!

Mambo mazuri hayataki haraka,tukumbuke kuwabaini na kuwatoa wafanyakazi hewa cy kz rahisi.....
sasa kama sio kazi rahisi kwa nini mliahidi kuwa zoezi halitazidi miezi miwili? ....na hiyo haraka unayoizungumzia ni ipi?
mwaka mzima watu wanapigwa danadana tu halafu mnasema eti mambo mazuri hayataki haraka? hamjui tu watu wanateseka kiasi gani pengine msingekuwa mnawazihaki watoto wa masikini kiasi hiki
 
Tuwe wavumilivu jamani ndio kwanza kipindi cha kwanza hata mwaka hajamaliza,kwa sasa anafuatilia utelekezaji wa ahadi nthen next term wanatuanda tuwapigie kura 2025 hapo ndio salary itapanda bila kuuliza●
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…