Mashuka ya cotto100%

ntolly

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
84
Reaction score
39
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
6*6 @70000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
6*6 @55000
Kwa waliopo Dar derivery ipo, gharama ya usafiri juu ya mteja,,na waliopo mikoani mtatumiwa
Tunapatikana Sinza Mori

Karibuni
 
Shuka ambalo nilinunua kwa bei ghali sana nililipa buku 10. Sasa ukiniambia nikanunue shuka la 80000 nitakuwa ninaumwa malale
 
Mkuu hiyo bei hupati mtu, mm niko mkoani tena central zone nilinunua dar nikatumia hadi nilipo kwa 55000 yaani hapo gharama za kusafirisha ni za muuzaji sasa kwa hiyo bei yako subiri wa dar tu kama watakuunga
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…