Usibishane na Wateja, bali unapaswa kuwajibu kwa hoja. Kuna hawa wanaitwa Discount Center hayo Mashuka bei ni Tshs. 45,000/=. Wanazo mpaka Duvet saaaafi za Cotton bei 65,000/= usilete ubishi kama MUHA ebbooo. Ukipewa neno kama mfanyabiashara wajibu wateja kwa mbinu za kibiashara lkn wewe unajibu kama Konda wa gari la Mbagalla. Soma weweeeeeeNipeleke wanapouza 45 na iwe pure cotton kama hii na ukubwa huu 8*8
[emoji122][emoji122]Usibishane na Wateja, bali unapaswa kuwajibu kwa hoja. Kuna hawa wanaitwa Discount Center hayo Mashuka bei ni Tshs. 45,000/=. Wanazo mpaka Duvet saaaafi za Cotton bei 65,000/= usilete ubishi kama MUHA ebbooo. Ukipewa neno kama mfanyabiashara wajibu wateja kwa mbinu za kibiashara lkn wewe unajibu kama Konda wa gari la Mbagalla. Soma weweeeeee
tuna siasa kwa kila kitu..tena siaaa chafuHivi kwanini mashuka na mikoba mizuri hutoka Uganda kwa miaka mingi?
Je kuna viwanda vya kuzalisha?
Kama wana import kwanini na sisi tusi import kwa ubora huo huo?
Tena ukizingatia kuwa sisi tuna bandari wakati wao hawana bandari?
Sent using Jamii Forums mobile app
wapo wapi hao mkuu Discount centreUsibishane na Wateja, bali unapaswa kuwajibu kwa hoja. Kuna hawa wanaitwa Discount Center hayo Mashuka bei ni Tshs. 45,000/=. Wanazo mpaka Duvet saaaafi za Cotton bei 65,000/= usilete ubishi kama MUHA ebbooo. Ukipewa neno kama mfanyabiashara wajibu wateja kwa mbinu za kibiashara lkn wewe unajibu kama Konda wa gari la Mbagalla. Soma weweeeeee