NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,868
- 5,164
Hapo ukute ndege ilikua inamsubiri bi kizimkazi huko nje 😄ATCL hao, halafu wanakupa majibu simple kabisa wala hawajali 😃
Hao ni ATCL unaona aibu gani kuwataja?! Ndio maana Tanzania ni vigumu kuendelea kwani hata kuwataja wahalifu ni ngumu sana kwetu.Jumatatu iliyopita ilikuwa nitoke Mwanza kwenda dar kwa ndege ya shirika flani X saa sita mchana tukaambiwa kuna shida tukapelekwa hotelini tukaambiwa inaweza ondoka jioni.Jioni haikuwa hivyo tukaambiwa labda saa nne usiku. haikuwa hivyo tukalala asubuhi.
Asubuhi tukaambiwa labda saa sita mchana ahikuwa hivyo matokeo yake tukaa kaa hadi saa nne usiku ndio tukaondoka kumbuka hiyo ni jumanne yaani siku zaidi ya moja imepita.
Baadhi ya abira walilalamika yuko mmoja alikuwa anakwenda kwenye interview dar ilikuwa inafanyika jumanne asubuhi automatically aliikosa.Yupo mmoja alikuwa anakwenda kwenye kesi dar hakufika na alikuwa mlalamikaji hatujui kesi ilifutwa au vipi kwa mlalamikaji kutokufika mahakamani.
Yupo aliyekuwa anafanya connection na ndege ya shirika la ndege la Ethiopia sijui ilikuwaje kwakweli.
Yuko mmoja alipata kaupenyo kazini kwake kwenda msibani dar maana katika siku zake za mapumziko alibakiza siku mbili tu hivyo angekwenda dar na kugeuza kesho yake matokeo yake sijui kazini kwake watamchukulia mtoro? na kitengo chake yuko peke yake hivyo kuna emergency ilitokea kazini wakampa sever reprimand.
Yote haya yasingetokea kusingekuwa na ndege kuchelewa.Sina ubishi na mashirika ya ndege kuhusu usalama wa abiria na ndege ni namba one hata wewe kungekuwa na ndege ipo uwanjani ukaambiwa hii ndege ina hitilafu lakini kama mnataka kupanda pandeni tu tuombe mungu hakika hakuna atakaye panda.
Nawapa heko kwa hili na ndio maana sikutaka kuweka wazi ni shirika gani kuharibiana biashara maana pia mlifanya hivyo ajili ya usalama wa abira na ndege.
Shida yangu na ushauri wangu ni kwamba mjaribu kuwa na maelewano ya ushirikiano kati ya shirika na shirika ili kulinda majina yenu.Mfanao kama hilo shirika X liliona halitaweza basi wangewasiliana na shirika lingine B kufaulisha ku save aibu mateso na aibu kwa shirika kwa kufaulisha abiria.Kitendo cha kuwapangia hotel abiria siku mbili hiyo gharama ingejifidia kwenye kuchukua hiyo ndege ingine.
Kwa nchi za wenzetu weupe hakuna kitu kama hiki cha kizembe.Miezi mitatu nyuma train ya Japan ilichelewa kufika kwa sekunde kadhaa abiria waliomba radhi na kufidiwa hapa kwetu hili ni kizungumkuti.
Hiyo picha hapo ni ya abiria aliyekwama airport akijua amekosa interview na ametumia gharama zake hii kwa kweli ni very pathetic
ZINGATIENI USHAURI WANGU itafika mahali itakuwa aheri kupand SGR
Kwa taarifa yako sio wenyewe hata wakisoma andiko hili watajua sio wao.Na najua utafikiria lile shirika lingine pia sio lenyeweUnaandika shirika X ya nini badala ya kuweka wazi kuwa ni ATCL
Sasa unaficha hilo shirika nini maana ya kufungua uzi, ila we jamaa una matatizo..Kwa taarifa yako sio wenyewe hata wakisoma andiko hili watajua sio wao.Na najua utafikiria lile shirika lingine pia sio lenyewe
shirika limekutendea ubaya halafu unalifichaJumatatu iliyopita ilikuwa nitoke Mwanza kwenda dar kwa ndege ya shirika flani X saa sita mchana tukaambiwa kuna shida tukapelekwa hotelini tukaambiwa inaweza ondoka jioni. Jioni haikuwa hivyo tukaambiwa labda saa nne usiku, haikuwa hivyo tukalala asubuhi.
Asubuhi tukaambiwa labda saa sita mchana ahikuwa hivyo matokeo yake tukaa kaa hadi saa nne usiku ndio tukaondoka kumbuka hiyo ni jumanne yaani siku zaidi ya moja imepita.
Baadhi ya abira walilalamika yuko mmoja alikuwa anakwenda kwenye interview dar ilikuwa inafanyika jumanne asubuhi automatically aliikosa. Yupo mmoja alikuwa anakwenda kwenye kesi dar hakufika na alikuwa mlalamikaji hatujui kesi ilifutwa au vipi kwa mlalamikaji kutokufika mahakamani.
Yupo aliyekuwa anafanya connection na ndege ya shirika la ndege la Ethiopia sijui ilikuwaje kwakweli. Yuko mmoja alipata kaupenyo kazini kwake kwenda msibani dar maana katika siku zake za mapumziko alibakiza siku mbili tu hivyo angekwenda dar na kugeuza kesho yake matokeo yake sijui kazini kwake watamchukulia mtoro? na kitengo chake yuko peke yake hivyo kuna emergency ilitokea kazini wakampa sever reprimand.
Yote haya yasingetokea kusingekuwa na ndege kuchelewa. Sina ubishi na mashirika ya ndege kuhusu usalama wa abiria na ndege ni namba one hata wewe kungekuwa na ndege ipo uwanjani ukaambiwa hii ndege ina hitilafu lakini kama mnataka kupanda pandeni tu tuombe mungu hakika hakuna atakaye panda.
Nawapa heko kwa hili na ndio maana sikutaka kuweka wazi ni shirika gani kuharibiana biashara maana pia mlifanya hivyo ajili ya usalama wa abira na ndege.
Shida yangu na ushauri wangu ni kwamba mjaribu kuwa na maelewano ya ushirikiano kati ya shirika na shirika ili kulinda majina yenu. Mfanao kama hilo shirika X liliona halitaweza basi wangewasiliana na shirika lingine B kufaulisha ku save aibu mateso na aibu kwa shirika kwa kufaulisha abiria.Kitendo cha kuwapangia hotel abiria siku mbili hiyo gharama ingejifidia kwenye kuchukua hiyo ndege nyingine.
Kwa nchi za wenzetu weupe hakuna kitu kama hiki cha kizembe.Miezi mitatu nyuma train ya Japan ilichelewa kufika kwa sekunde kadhaa abiria waliomba radhi na kufidiwa hapa kwetu hili ni kizungumkuti.
Hiyo picha hapo ni ya abiria aliyekwama airport akijua amekosa interview na ametumia gharama zake hii kwa kweli ni very pathetic
ZINGATIENI USHAURI WANGU itafika mahali itakuwa aheri kupanda SGR.
Hata makanisa na misikiti wana siri zao.Sasa unaficha hilo shirika nini maana ya kufungua uzi, ila we jamaa una matatizo..
Atcl, Precission, Coastal, Auric, ZanAir, Flightlink au AirExcel?Sasa unaficha hilo shirika nini maana ya kufungua uzi, ila we jamaa una matatizo..
UKiwataja ndio powa utawapa promo kwa kujali usalama wa watejaHata makanisa na misikiti wana siri zao.
Imagine wewe una shirika lako halafu naanika hapa utajisikiaje
Nimesoma ethics za management i know what i am doing
Mimi ni mkurugenzi wa shirika flani
Sasa bibi anaingiaje hapo?Bibi anaupiga mwingi.