Mashirika kuua Home Based Care

Alphonce Kagezi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
338
Reaction score
163
Ndg Watanzania wa Kada ya HUWANYU hasa wa Mwanza HBC imefia mkononi mwa watao tenda kwa Mashirika yalio ava koti huruma na chungu kumbe ni wachuma pesa za Wafadhili tu,leo nimepata taarifa mrithi wa life project iliopita aja na mapya ila ya kushangaza kama Sio kusikitisha afuta Watoa huduma Ilemela za HUWANYU eti aanzisha formula mpya hakuna huduma kwa WAVIU aanzisha Kivuli cha kutoa huduma kwa Watoto wanaoteswa na kunyanyaswa kama ni kweli mfumo huu tutakuwa na NGOS ngapi za kivuli cha huduma kwa Watoto ,Tunali we care,fhi360 Ndio Viboko wengine wanaiga ila hawataweza waende Tunali au fhi360 wakajifunze utekelezwaji bora wa huduma za Home Based care wasianze kuwa wababaishaji na kua mazuri yaliochwa na Tunajali na fhi360 , wao wengine mlioacha mmewaweka akiba kama skari au Ndio mnalamba chenu miaka 5 upite?

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Tunali,fhi360 mtakumbukwa daima Mwanza sio walamba pesa za Wafadhili kwa kuua mazuri yalioachwa na watangulizi ktk kada HBCS ,hivi Selikali haiwezi kuanzisha utendaji na Matumizi ya fedha za Wafadhili kwa Mashirika Kigogo?Tumebakiza NACOPHA waipishe ifanye Kazi ndie Mwalimu aliebaki ingawa Raslimali fedha haitoshi ili watimize Malengo kwa WAVIU Kanda ya ziwa na Tanzania nzima

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
aliyeelewa hili jamaa limeandika nini anifafanulie
 
Jamaa ameandika kama wote tunaelewa hizo mambo,mi ninaona tunali,fhi360 mara NACOPHA sijui ndo vitu gani sasa.
 
DUU WAHENGA WANA LUGHA NGUMU ASEEE

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Acha uwongo,TUNAJALI wala FHI hawajawahi kuwa Mwanza kwa ajili ya huduma hiyo .Waliokiwa mikao hiyo ni Tanzania Red Cross na Pathfinder kwa ufadhili wa USAID.Hao unaowataja walikiwa Dodoma ,Singida na mikoa mingine ambayo sasa wanaendelea nayo.Baada ya miaka mitano(5)wafadhili wamegawana mikoa na sasa Tunajali wapo kanda ya kusini ,kanda ya kati wamepewa EGPAF chini ya USAID.sehemu nyingine iko chini ya ufadhili ya CDC chini ya mashirika mengine matatu au.mne.Kwa sasa wafadhili hao kipao mbele chao ni wilaya zwnye wagonjwa wa ukimwi zaidi ya 10 na kuendelea na wamepunguza huduma za majumbani na sehemu nyingine ilitakiwa baada ya miaka mitano serekali na jamii iangalie wagonjwa wao.Watanzania tuache kutegemea misaada tuanze kuangalia wagonjwa wetu wenyewe.
 
Huyu mwandishi ni nterahamwe ? Sijui kaandika nn?


Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Mantiki hakuna hapa...naona lugha gongana tu.
 
Kwa uandishi huu Kama wewe ni mfanyamazi na bado hujafukuzwa kazi basi wewe ni Jipu

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Mwandishi atakuwa na wivu afu jamii ya Amitabachan

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…