Ukileta tangazo hakikisha umeweka maelezo ya kutosha, vimaswali vidogo dogo vyote viwe namajibu ya hayo maelezo yako..
Mfano unasema pump ya hp fulani ni sh kadha, inafaa kwa hiki na hiki.
Mashine ya kusafishia maji sh kadhaa, inachuja lita fulani ndani ya mida fulani
Inapendeza zaidi.