N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Apr 15, 2014 #1 Wadau salaam..nauza mashime 2 za kuosha magari aina ya Kercher 130 mpya kabisa kwenye box na Hitachi vacuum cleaners 2 pia mpya vyote kwa 1.3m.Karibuni.K2a mawasiliano 0659300000
Wadau salaam..nauza mashime 2 za kuosha magari aina ya Kercher 130 mpya kabisa kwenye box na Hitachi vacuum cleaners 2 pia mpya vyote kwa 1.3m.Karibuni.K2a mawasiliano 0659300000
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,049 Reaction score 7,489 Apr 15, 2014 #2 800k tuongee...hizi kitu zinakufa zikitumiwa kwa heavy duty jombaa.
N ndaha JF-Expert Member Joined Jul 6, 2013 Posts 347 Reaction score 49 Apr 15, 2014 Thread starter #3 Jombaa hizi karcher sio uchina mkuu..ni vumilivu na mpya kwa box...ntakupa kwa 1.2 pamoja na vacuum cleaners 2..na spea za ziada
Jombaa hizi karcher sio uchina mkuu..ni vumilivu na mpya kwa box...ntakupa kwa 1.2 pamoja na vacuum cleaners 2..na spea za ziada
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Apr 16, 2014 #4 duh hizo machine zinakuwaje? mi najua hizi automatic ukiingiza gari inaosha yenyewe kwa nje na zinakuwa kuubwa sio za box,hizo dah mpya anyway powa
duh hizo machine zinakuwaje? mi najua hizi automatic ukiingiza gari inaosha yenyewe kwa nje na zinakuwa kuubwa sio za box,hizo dah mpya anyway powa