Shaun modest
New Member
- Apr 17, 2019
- 3
- 0
Sasa si bora na wewe uweke tangazo lako tu, me sio dalali nauza yangu nawe waweza uza yakoUkishauza yako..nitaftie namimi wa MAXMALIPO
Mtajaza sredi tu bora mkae nayoSasa si bora na wewe uweke tangazo lako tu, me sio dalali nauza yangu nawe waweza uza yako
π π π watangaze tu kwenye sredi moja hii hii sio??Mtajaza sredi tu bora mkae nayo
Waungwana mashine ya selcom inauzwa bei ni maelewano na ipi katika hali nzuri. Ina adapter yake pamoja na mkataba wa manunuzi.
Aliye tayari anicheki kwa namba 0719 585236
WEKENI BEI ACHENI KUZINGUAUkishauza yako..nitaftie namimi wa MAXMALIPO
200,000WEKENI BEI ACHENI KUZINGUA
Kwahiyo ukimpa 100k ndo yatakuwa na faida?Hayana faida hayo mamachine...chukua 100k
Kwahiyo ukimpa 100k ndo yatakuwa na faida?
tutagawana hasara...nikilipwa 10k kwa mwezi afadhaliKwahiyo ukimpa 100k ndo yatakuwa na faida?