Mashine ya Matofali

,kuu pambanua ratio 1:40 unatumia debe/mfuko wa rambo ama ndoo ili wanaotaka kujaribu wajue wanapima na nini najua engineers wanajua unaongea nini lakini si wote wanaoujua mpwa

natumia ndoo ya lita 10 ila ratio unaweza jaribu kwa kipimo chochote hata kisado au chepe au debe mradi mfano ukisema ratio ya 1:40 basi utatumia kisado kimoja cha sementi kwa visado vi3 vya udongo na mixed soil haitakiwi ilowe kama zege unakuwa mbichi tu maji ya kunyunyizia kuweza kufinyanga tonge kama la ugali likanatana mmmh kwa leo yatosha c u tomoro class!
kwa utamu zaidi google'' safido interlocking brick machine''
 
hata mm nakubali hamna ubunifu ila tunaibiana na kuumizna migongo.
 
Mbagala near dar live waulize wale wafanyakazi wa shigongo watakuelekeza,maana pale dar live walikua wanapiga matofali zamani kabla shigongo ajajenga ukumbi.

Ni kweli kilikuwa kiwanda pale lakini jamaa alishauza siku mingi na akapotea na sijui alipo tena, ni muda mrefu sana hata kabla Eric hajaanzisha mradi wake pale!!!
 
Nilikuwa na vijana watatu walikuwa wanafyatua mifuko 10 ya cement kwa siku mfuko mmoja tofali 50
mzeee tofali 50 kwa mfuko wa cement? mbona hii takwimu sio sahihi kwa Interlocking mkuu, angalia hii attachement (ahhhh nashindwa kiweka) nipeni shule...) lakini kwa kuanzia angalia hii
Percentage of clay in the soil
30 3 (approx 1:32), 5 and 7
40 4 (1:24), 6 and 7
50 5 (1:19), 7 and 9
60 6 (approx 1: 16), 8 and 10
70 7 (approx 1: 13) and 9
80 8 (1:11.5) and 10
90 10 (1:9)
 

nimesoma vibaya au umeandika vibaya... sh 900 tofali moja acha utani bana
 
na wewe ushazoea kudesa upewe sehemu ya kuzipata ushauriwe na bei
loh embu nenda dit bana ukishindwa njoo mwenge pale lugalo kwa mzee wa trillion kua uyaone

Thnak you for the comment........duh kumbe wanifahamu hivyo!
 
Kujenga ukuta/uzio wa nyumba kwa kutumia interlocking bricks

Wakuu Naona uzoefu wenu kuhusu uimara wa uzio na pia bei,,,,
 
kuna zingine apo arusha kamatech, zinatengeneza matofal ya udongo yasiyo na cement at least haziitaji nguvu sana. na tofali ni saizi ndogo kama nusu ya hiyo unayoiona kwenye picha, bei 950,000 tzs.
mkuu zinatoa tofali ngapi at once?.. bei ni fixed ama?
 
i love this and i need the machine. pliz may i get where. the offices ov NHBRA Are.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…