MASHINE YA MASAFA IKO SOKONI

MASHINE YA MASAFA IKO SOKONI

mysimu

Senior Member
Joined
May 2, 2017
Posts
151
Reaction score
44
Pikipiki naiuza. Iko vizuri cc250'
Bei milioni 4.5 Karbu sana.
ca83372fcdd1a42e07abb68ef4747bac.jpg
 
Pikipiki naiuza. Iko vizuri cc250'
Bei milioni 4.5 Karbu sana.
ca83372fcdd1a42e07abb68ef4747bac.jpg
Ikiwa Mpya ni kiasi gani??
Pili ifute hayo maandishi maandishi, yatakuharibia soko,
Manake sio lazima atakaeinunua awe mchungaji
 
Hiyo ni mashine ya masafa?

Hiyo ni dirt bike. Mashine ya off road. Hiyo ukienda nayo masafa unafikiri kalio lako litakusamehe kwa maumivu utakayolipa?
 
Unapofanya biashara wakati huna elimu ya biashara ni tatizo kubwa sana.

Hata hayo maandishi yako pia yanaweza kudhoofisha upatikanaji wa wateja.
 
Ikiwa Mpya ni kiasi gani??
Pili ifute hayo maandishi maandishi, yatakuharibia soko,
Manake sio lazima atakaeinunua awe mchungaji
Unapofanya biashara wakati huna elimu ya biashara ni tatizo kubwa sana.

Hata hayo maandishi yako pia yanaweza kudhoofisha upatikanaji wa wateja.
Bora nawe umwambie Mkuu
 
Bora nawe umwambie Mkuu
Mambo mengine ni ubishi usio na elimu ndani yake.

Ndio wale wanafanya biashara haziendi wanaishia kutangatanga kuombewa na kupakwa mafuta wasiyojua yametoka wapi au kwenda kwa waganga wa kienyeji kumbe wao wenyewe ndio wanaharibu biashara zao. Wanaishia kuliwa pesa zao tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom