ubongokid JF-Expert Member Joined Apr 30, 2017 Posts 2,357 Reaction score 4,625 Mar 10, 2018 #1 Habari wadau; Mwenye kufahamu kuhusu bei na upatikananji wa mshine za kufyatua tofali kwa maeneo ya Arusha anijulishe aina pamoja na bei zake. Pia mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza tofali anijulishe kuhusu gharama na faida ya biashara hii Asante
Habari wadau; Mwenye kufahamu kuhusu bei na upatikananji wa mshine za kufyatua tofali kwa maeneo ya Arusha anijulishe aina pamoja na bei zake. Pia mwenye uzoefu wa biashara ya kuuza tofali anijulishe kuhusu gharama na faida ya biashara hii Asante