Mashine ya kutengeneza icecream za kijiti maarufu rambaramba. MPYA kutoka China. Inazalisha icecream 3,000 kwa siku. Inatumia umeme wa majumbani. Fika dukani DSM Kinondoni mkwajuni nyuma ya ccm. Simu/Whatsapp 0715316614. BEI TSH 3,399,000. Material ni Stainless steel haishiki kutu na ni IMARA .Mikoani utatumiwa ulipo kwa gharama zako.