Mashine mpya za kukamulia mafuta

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Posts
2,272
Reaction score
1,898
Bei tsh 1,399,000. Material ni stainless steel haishiki kutu. Inachujio inachuja pia. Inakamua aina 24 za mafuta kama nazi, karanga, ufuta, mahindi, alizeti nk. Umeme 1.5KW. Voltage 220V. Duka lipo DSM kinondoni mkwajuni nyuma ya ccm. Simu 0715316614

.
 
Safi sana mkuu.
Je spare zake zinapatikana
Ina uwezzo wa kukamua kiasi gani kwa kila aina ya mbegu husika
 
Safi sana mkuu.
Je spare zake zinapatikana
Ina uwezzo wa kukamua kiasi gani kwa kila aina ya mbegu husika
Ndio mkuu spea zinapatikana. Ni ngumu kusema kwa kila aina inakamua kiasi gani kwa sababu si aina zote zimeelezwa kiwango chake. Hivyo kiwango kwa aina nyingine ni mtumiaji husika wa mashine atajua baada ya kuitumia mashine. Angalia picha hapa chini

.
 
Asante sana mkuu number yako nimeiserve nitakutafuta kabla hazijaisha
 
bado zipo
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…