Wakuu pole na majukumu ya kila siku.
Kwakifupi nahitaji mashine ya kusanga na kukoboa kwa hapa Dar.
Nahitaji mashine kwajiri ya kusindika unga,....
Nimeambiwa na watu wengi Sana kua zipo madukani
Wengine wanasema zipo VETA...
Wengine wanasema zipo SIDO.....
Naomba Sana mwenye kujua anipe tarifa plzzz....