Ingekuwa rahisi kwenda basi kila nchi wangejazana sana..ELEWA kufanikiwa kushiriki Olympic kila mchezo una qualifications zake...kuzifikia hizo qualifications ndio mtihani .Lazima uende ktk mashindano mengine makubwa yanayotambuliwa ili upate qualifications...so inahitaji sponsorship na maandalizi ya muda mrefu