Mashamba yanauzwa bei nzuri

focusgroup87

New Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
1
Reaction score
2
Mashamba! Mashamba! Mashamba yapo Bagamoyo, Msata na Chalinze.

Bei ni kuanzia tsh 450,000 kwa ekari.

Tunauza kuanzia ekari 1.

Nb: ukihitaji hati ya shamba lako utashughulikiwa pia.

Wasiliana nasi kupitia namba 0693410942
 
Chalinze kuna umbali gani kutoka bara bara kuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…