Bonaventure wolter
Member
- Oct 18, 2016
- 28
- 4
OK karibuNitakutafuta mkuu
Punguza bei nije kuchukua hekari za kutosha...nakuijia simuniBei ni tsh laki moja tu Kwa heka
Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea
Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe
Kwa mawasiliano zaidi npigie 0764426929 na whatsap 0742188846
Badilisha maisha yako kwa kilimo cha miti ya mbao
vipi uchomaji wa motoPunguza bei nije kuchukua hekari za kutosha...nakuijia simuni
Bei ni tsh laki moja tu Kwa heka
Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea
Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe
Kwa mawasiliano zaidi npigie 0764426929 na whatsap 0742188846
Badilisha maisha yako kwa kilimo cha miti ya mbao
Ni mashamba Ya familia, huku ndio haswa miti hukua kwa haraka kuliko maeneo mengine ya mkoa wa njombeHizo ni habari njema,je ni mapori ya familia au ya serikali ya kijiji na je sehemu hiyo miti inastawi maana naambiwa sio kila sehemu huko njombe miti inastawi vizuri
Milion mbili na nusuIli niwe na shamba la 10acres lililo na miti jee niandae tsh ngapi?
Ngapi unatakaPunguza bei nije kuchukua hekari za kutosha...nakuijia simuni
10Ngapi unataka
Unaweza kutoa mchanganuo wa hii 2.5mil??Milion mbili na nusu