Mashamba-Kibiti ikwiriri

Mashamba-Kibiti ikwiriri

Nickson Mjuni

Member
Joined
Jul 10, 2016
Posts
47
Reaction score
26
Jaman pwani uko ina ardhi ya tena hatari mkurunga kwa mbele uko kibit kila aina la zao linakubali yaan hata usipotumia mbolea ki2 kinastawi liwe tikit, ufuta, mananas ya kule ya bagamoyo yakasome, mihogo ndo balaaa kuna mto kambale mm1 kilo 3-6, bamia, yaan ww 2 ndugu zangu ni balaaaa naenda kununua eacr 100 uko soon
 
Wanauzaje kwa heka moja?
 
Back
Top Bottom