Watu wanatumia fursa wewe unasema wamekuja kutafuta vipaji.
Si unaona hata World Bank na IMF wanavyotupa misaada? Ni kwasababu Wazungu wanatupenda na kutujali ndiyo maana ingawa wanamatatizo yao lakini wanatoa hela zao wanatupatia sisi. LOL!
Ni kwa akili kama zako za namna hii ndiyo zitakazofanya CCM itawale hii nchi milele.

swali lako kama man utd wanaijua au hawaijui Tz limeshajibiwa, hayo mengine ni ngonjera na porojo!
eti wazungu hawaijui tz, wasingekuja kuweka makoloni toka enzi hizo babu zako anavaa majani, wakaja na kukupa hiyo elimu unayojifanya kuelimika zaidi kuliko wao waliokuletea shule hizo na kuwabeza eti hawaijui Tz!
Man utd wanafahamu wana mashabiki Dunia nzima, labda useme mashabiki wa tz ni mko ignored tu (hamtambuliki), hivyo bora ushabikie local club unajua makao makuu yake, na unaweza ukawa hata mwanachama au kugombea uongozi wa Yanga. Vilevile kutotambulika haimaanishi hufahamiki.