Kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwa vyama vingi TZ kura yangu itaenda kwa chama tawala.
Upinzani umenifanya nione kuwa hakuna haja ya kuwepo upinzani ...
Upinzani gani hauna jipya.
Upinzani gani hauna msimamo
Upinzani gani unakumbatia mafisadi na kujitahidi kuwasafisha,,,,,
Upinzani hovyo kabisa