DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Mar 19, 2018 #1 huyo wa katikati naona kapiga modo
Simple F JF-Expert Member Joined Nov 17, 2016 Posts 1,301 Reaction score 1,784 Mar 19, 2018 #2 Hii ina uhusiano gani na ushabiki wa mpira fafanua
wined JF-Expert Member Joined Nov 1, 2015 Posts 2,294 Reaction score 2,784 Mar 19, 2018 #3 Hapo enzi hizo bonge la mjanja kwel dunia inabadilika
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Mar 19, 2018 Thread starter #4 Simple F said: Hii ina uhusiano gani na ushabiki wa mpira fafanua Click to expand... Huyo jamaa wa katikati ni shabiki lialia wa yanga
Simple F said: Hii ina uhusiano gani na ushabiki wa mpira fafanua Click to expand... Huyo jamaa wa katikati ni shabiki lialia wa yanga
Bishop Hiluka JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 7,147 Reaction score 14,711 Mar 19, 2018 #5 Hmm!...
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,917 Mar 19, 2018 #6 Ngoja niwaite wenye timu yo
Wakili JF-Expert Member Joined Jun 19, 2017 Posts 531 Reaction score 657 Mar 19, 2018 #8 A.Y alikua smart since day one hadi leo
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Mar 19, 2018 #9 Izo suruali ndo nizuri Sio unavaa suruali imekubana hata kutembea unashindwa ukidandia daladala imechanika makalioni
Izo suruali ndo nizuri Sio unavaa suruali imekubana hata kutembea unashindwa ukidandia daladala imechanika makalioni
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Mar 19, 2018 Thread starter #10 kedrick said: Izo suruali ndo nizuri Sio unavaa suruali imekubana hata kutembea unashindwa ukidandia daladala imechanika makalioni Click to expand... Kuna kaukweli
kedrick said: Izo suruali ndo nizuri Sio unavaa suruali imekubana hata kutembea unashindwa ukidandia daladala imechanika makalioni Click to expand... Kuna kaukweli
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Mar 19, 2018 #11 Huyo ni mtani wangu ila vinguo vya kubana makalio kwangu marufuku.Halafu,muhenga miye nivae vinguo vidooogoo ili iweje?Wajukuu watan'cheka.
Huyo ni mtani wangu ila vinguo vya kubana makalio kwangu marufuku.Halafu,muhenga miye nivae vinguo vidooogoo ili iweje?Wajukuu watan'cheka.
Tdm255 Member Joined Mar 17, 2018 Posts 8 Reaction score 3 Mar 19, 2018 #12 Wakati atakuwa amepiga kamatia chini ivi
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,258 Reaction score 13,265 Mar 19, 2018 #13 DullyJr said: View attachment 719350huyo wa katikati naona kapiga modo Click to expand... Hizo ndio pamba za wana hip hop wa ukweli yaani wanaume wa shoka, Kipindi tunasoma ndio ilikuwa mikato yetu hiyo
DullyJr said: View attachment 719350huyo wa katikati naona kapiga modo Click to expand... Hizo ndio pamba za wana hip hop wa ukweli yaani wanaume wa shoka, Kipindi tunasoma ndio ilikuwa mikato yetu hiyo
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Mar 21, 2018 #14 kichomiz said: Hizo ndio pamba za wana hip hop wa ukweli yaani wanaume wa shoka, Kipindi tunasoma ndio ilikuwa mikato yetu hiyo Click to expand... "Egezakitili"!
kichomiz said: Hizo ndio pamba za wana hip hop wa ukweli yaani wanaume wa shoka, Kipindi tunasoma ndio ilikuwa mikato yetu hiyo Click to expand... "Egezakitili"!
Kiparuanda JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 1,598 Reaction score 2,411 Mar 21, 2018 #15 Hapo unakuta kiunoni kamba za katani zinahusika sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,940 Reaction score 831,459 Mar 21, 2018 #16 DullyJr said: View attachment 719350huyo wa katikati naona kapiga modo Click to expand... Angalia buti ya kiraka
DullyJr said: View attachment 719350huyo wa katikati naona kapiga modo Click to expand... Angalia buti ya kiraka
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,993 Reaction score 11,871 Mar 22, 2018 Thread starter #17 Baba Heri said: Hapo unakuta kiunoni kamba za katani zinahusika sana Click to expand... Za kiatu mkuu
Baba Heri said: Hapo unakuta kiunoni kamba za katani zinahusika sana Click to expand... Za kiatu mkuu