Wakola iweeeeeeKaribuni sana waganda wenzangu tuisapoti Vipers
Empologoma okuzisiba kiringa ekyaffe bulijjo era temweraliikirira, Vipers Goal 3 Simba O bano baffe abakooyeUzi huu ni Kwa wale wapenzi na mashabik wai vigogo kutoka Uganda hapa nazungumzia Vipers Sports Club.
Klabu hii yenye maskani yake jijin Kampala ndio mabingwa wa ligi ya Uganda...
Vipers silaha yao kubwa ni defence, ni wagumu kufungika (pamoja na kwamba walifungwa 5 na Raja, nazungumzia kwa ujumla). Lakini kwa upande wa kufunga mabao, sio wazuri kabisa, wanayatafuta mabao kwa tochi. Hali hii ni kote kote, kwenye CAF CL na kwenye ligi yaoNiwatoe hofu mashabiki na wapenzi wote wa Vipers tu kuwa Jumamosi huyo Simba atapigwa sio chini ya goli 5 na ataendelea kubuluza mkia wa kundi letu paka mwisho maana yeye ndio kibonde wankundi letu.
Unazungumzia mechi ya kirafiki?Viper Alipiga gongowazo Taifa.
2-0
Vipers hata goli moja wakipata watashangilia. Ni timu yenye ukame hasa wa mabaoVipers 4-0 kinyumenyume
Raja, sio Vipers.Unazungumzia mechi ya kirafiki?
Raja amepiga Simba 3-0 taifa juzi tu kombe la cafcl
Unachekesha wewe mtanzania, yaani km juzi tu mlikua mnataka kumsajili Mshambuliaji wetu manzoki? Kwaio magoli hayo aliyokuwa anafunga manzoki yalikuwa ni ya wapi? Au kumbe mlikua mnataka kusajili Mshambuliaji asiyefunga magoli??Vipers silaha yao kubwa ni defence, ni wagumu kufungika (pamoja na kwamba walifungwa 5 na Raja, nazungumzia kwa ujumla). Lakini kwa upande wa kufunga mabao, sio wazuri kabisa, wanayatafuta mabao kwa tochi. Hali hii ni kote kote, kwenye CAF CL na kwenye ligi yao
Manzoki yupo China, sio Vipers. Tatizo unatafuta ligi ya ubishi. Nenda kaangalie mechi 20 za mwisho alizocheza Vipers halafu uangalie kama kuna mechi ngapi alizoondoka na goli 2. Hilo moja tu hawalipati kirahisi.Unachekesha wewe mtanzania, yaani km juzi tu mlikua mnataka kumsajili Mshambuliaji wetu manzoki? Kwaio magoli hayo aliyokuwa anafunga manzoki yalikuwa ni ya wapi? Au kumbe mlikua mnataka kusajili Mshambuliaji asiyefunga magoli??