Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,352
- 40,406
AaahaaaaaHabib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 1 kwa ubora Afrika Al ahly baada ya kucheza Africa football league na timu bora ya simba michuano ambayo imekutanisha giants wa Africa na simba ndyo timu pekee Africa mashariki kushiriki
Kwa mujibu wa caf derby bora afrika ni al ahly vs simba
Na YANGA vs zalan fc
Lengo letu al ahly ni kufumua timu zote zilizo kwenye kundi letu hasa wale nzi wa kijani kwa ushindi mnono
kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL AHLY [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]View attachment 2792061
Habib habib View attachment 2792062
Mchawi karaba hat trick kwa mkapa lazima View attachment 2792063
Usiyempenda kaja anakaba mpka kivuri anamuogopa kanoute tu afrika hii
Mwanasimba mwenzio huyoUshindwe kushabikia utopolo i Al Ahly?Ujuha mwingine ni zigo.Anyway,weny akili ni....à
1. Hamkujuana jana, wakati mmeshika roho mkononi kwa kipindi chote cha kwanza?Habib habib shabiki damu kindakandaki wa timu pendwa timu namba 1 kwa ubora Afrika Al ahly baada ya kucheza Africa football league na timu bora ya simba michuano ambayo imekutanisha giants wa Africa na simba ndyo timu pekee Africa mashariki kushiriki
Kwa mujibu wa caf derby bora afrika ni al ahly vs simba
Na YANGA vs zalan fc
Lengo letu al ahly ni kufumua timu zote zilizo kwenye kundi letu hasa wale nzi wa kijani kwa ushindi mnono
kila la kheri timu yangu pendwa toka utotoni AL AHLY [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1630][emoji1630][emoji1630][emoji1630]View attachment 2792061
Habib habib View attachment 2792062
Mchawi karaba hat trick kwa mkapa lazima View attachment 2792063
Usiyempenda kaja anakaba mpka kivuri anamuogopa kanoute tu afrika hii
Mwamba, kumchambua vizuri huyu Carasco Putin weka link ya huo uzi wake hapa, tumuone anavyohamahama kahaba wa timu za soka huyu..!!Kumbuka una uzi maalumu wa Mashabiki wa El Marekh na umeutelekeza hauna hamu hata wa kuona ,ngoja ninywe chai niufufue kutoka maktaba..
Aaahahhaa1. Hamkujuana jana, wakati mmeshika roho mkononi kwa kipindi chote cha kwanza?
2. Hamkujuana jana na possession ya 73% kwa 23% mje mtafutane leo?
NATAHADHARISHA MAPEMAAA KWAMBA MSIJE SEMA TUMEPANGIWA VIBONDE...!!!!
Waambie kabisa na wenzio akina Mshana Jr, Kalpana, GENTAMYCINE et el. Maana hamchelewi kugeuza kauli.
NB:
MMEANZIA ROBO NA MMEISHIA HAPO HAPO KWENYE ROBO. Mwakarobo FC
AaahaasNaaam shabiki kindaki ndaki wa red devils wa Africa
AahaaaaaaMalipo ni hapa hapa duniani. Na kipimo alichopimiwa mwenzako ndicho utapimiwa wewe.