SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,117 Reaction score 8,096 Sep 12, 2018 #1 Zahanati ya Kijiji cha Namalembo kata ya Msikisi wilaya ya Masasi inayohudumia wananchi wa vijiji vitatu haina vyoo, na hivyo wagonjwa kulazimika kujisaidia porini au kwenye choo cha kienyeji kilichojengwa kwa Miti. Chanzo: Itv/radio one
Zahanati ya Kijiji cha Namalembo kata ya Msikisi wilaya ya Masasi inayohudumia wananchi wa vijiji vitatu haina vyoo, na hivyo wagonjwa kulazimika kujisaidia porini au kwenye choo cha kienyeji kilichojengwa kwa Miti. Chanzo: Itv/radio one
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,795 Reaction score 48,057 Sep 13, 2018 #2 Wachaaa waisome namba eh wajinga hao