Nasikia jamaa siku hizi haendi mwenyewe baada ya kukamatwa kule china na baba kumlipia fadhila zetu sasa ndio hawa jua kali anawabebesha kama punda kwa uroho wa kupata utajiri wa harakaharaka wanaingizwa mkenge hawa wakubwa ndio wakukamata lakini nguvu waliyo nayo nikama wale mafya wa mexico vijana kutokana na ugumu wa maisha wameamua kucheza bahati na sibu ya maisha yao .