GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,699
- 109,136
Msako sio wa kitoto, hata kama huyo mbu anakipisi cha bangi kaficha kwenye msambwanda, atakitoa tu
Jaribu kumcheki kwa simu RC Makonda, atakupa jibu kamili, maana nae anaishi huku pia.Wanasaka nini Mkuu? Manake Mimi mwenyewe japo nipo huku Makazi Kwangu Kisiwani Puerto Rico ila nina Watanzania Marafiki zangu wapo huko Kwenu Dar es Salaam na wanaishi Masaki na Oysterbay wanasema kama ' Ulinzi ' wanaouona leo na hata jana ungekuwepo Siku zote basi Wananchi wengi wa maeneo hayo wasingekuwa wanaporwa hovyo Simu zao, Pochi zao na hata Laptops zao.
Hebu naomba wale wana JamiiForums wanaoishi huko waweze kutueleza ukweli juu ya hili tafadhali.
Jaribu kumcheki kwa simu RC Makonda, atakupa jibu kamili, maana nae anaishi huku pia.