Maasai alishangaa kuona magari yakitiwa petroli kituoni, akaamini mafuta hufanya gari liende kasi. Akapeleka punda wake, akamuinua mkia akisema, "Weka yeye ya 200/- akimbie"
Punda kuhisi kidude mwilini, akatimka mbio. Maasai akamkimbiza lakinihakumshika.
Akarudi kituoni akainua shuka, akainama na kunena, "Ero, weka mimi ya 500/- nikimbise punda yangu"