Mary Chitanda ahofia mpasuko Arumeru Mashariki

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,828
kazi ipo mwaka huu!!
 
CCM ni kama mzoga unaotoa harufu kali. Nani anautaka?!
 
zile habari kwamba kuna wawili wa ccm wanataka kwenda cdm zaweza kuwa kweli.
 
Huyu mama alikuwa hajui tu kwamba CCM ishakufa kanda ya kaskazini na viunga vya jirani na huko... tena ndiye yeye huyu huyu aliyehusika kuiua sasa anaongea nini?
 
Mary Chatanda ni Mbunge wa viti maalum toka TANGA na ni katibu wa ccm wa wilaya ya Arusha lakini alishiriki kumchagua meya wa jiji la arusha kwa nini?????
 
marry chatanda ana urafiki na mmoja wa wagombea,yule mkurugenzi wa AICC
 
Mary Chatanda ni Mbunge wa viti maalum toka TANGA na ni katibu wa ccm wa wilaya ya Arusha lakini alishiriki kumchagua meya wa jiji la arusha kwa nini?????
usishangae under CCM kila kitu kinawezekana, watapindisha hizi sheria na muda tu.
 
ni jambo zuri kwetu acha wagawanyike/wapangaranyike sisi kazi ni moja tu, mshikamano na nguvu ya umma,
 
hahofii chama, anajihofia ajira mteremko aliyonayo anajua kwa elimu yake hakuna kichaka nyingine anapoweza kujibanza
 
hahofii chama, anajihofia ajira mteremko aliyonayo anajua kwa elimu yake hakuna kichaka nyingine anapoweza kujibanza
lazima apigwe chini kwa sababu arusha nzima inaelekea kuangukia cdm.
 
Chama cha majambazi CCM mwisho wao umefika,wanafanya dhuruma kila mahari.
 
CCM ni maiti inayosubiri kuzikwa. No ujanja anymore....!
 
ccm wanafanya field work.wanatafuta kwa udi na uvumba kujua ni miradi gani ya maendeleo imefanyika arumeru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…