Naunga mkono hoja ya manispaa ya morogoro, unaweza kuweka bendera sehemu nyingi kama masokoni madukani na ofisi binafsi sio ofisi za serikali.
Naunga mkono hoja ya manispaa ya morogoro, unaweza kuweka bendera sehemu nyingi kama masokoni madukani na ofisi binafsi sio ofisi za serikali.
Jackson Michael wao wanamaana mpaka nyumbani kwako ni eneo la serikali,maana mpaka huko sokoni wamekataza,Hawa jamaa ni waajabu sana ofisi zote za magamba yalikuwa maeneo ya wazi wakabadili matumizi kwa maguvu,viwanja vya michezo jamhuri Stadium ikiwemo wananchi wote walichangia leo kiwamja ni cha magamba,hayo hawayaoni wanaona bendera za chadema!
Mwambungu bado DC hapo?kama yes sitashangaa huwa simwamini yule kwa maamuzi yenye ueledi,thats nonsense kuhangaika na bendera
Huyo JM ni gamba
Ungeelewa mada kwanza ndipo ukurupuke kujibu. Imekatazwa kuweka bendera ndani ya manispaa ya morogoro na si ofisi za manispaa. Kwa lugha nyepesi kwa vilaza manispaa ni ndani ya mipaka yote ya manispaa from Kingolwila to mzumbe e.t.c. No parties flags (Du udikteta unaanza polepole!!!!!)Naunga mkono hoja ya manispaa ya morogoro, unaweza kuweka bendera sehemu nyingi kama masokoni madukani na ofisi binafsi sio ofisi za serikali.
hivi moro mbunge wao nani vile.?