Married woman and men only

Nimependa uzi kuwa kila couple isimame kwenye nafasi yake but hiyo routin ya sex kha sugu lazima ziote mazee yaan hapo hiyo ndoa imebebwa sanaa na sex in reality too much sex inakinaisha yaan mtu amaizoea anaona kawaida
 
Ni kweli usemayo. Na mwenza akishakuwa rafiki hakuna kinachoshindikana. Tatizo hatujayapa nafasi. Mapenzi yanachukuliwa kuwa ni kitu cha ziada ndo tatizo linapoanzia. Hii inafanya mwingine ashindwe kuonesha malovee kwa mwandani wake kutokana na huo mfumo wa "kinunda"
 
HIV inakuaje msichana kabla hujamuoa anakuwa hot kila siku unapo kutana

But ukimweka ndan ni kama sijui nieleze VIP yaan

Unaweza kuta wiki inapita hana hamu nasex. HV tatizo nini haswaa??

Maana unajikuta unabaka Tuu kila ukiwa nahamu..*****
 
Nimeuelewa sana uzi wako na nitamfanyia yote hayo my husband,pengine nitazidisha zaidii ya hapo lkn kwenye sex siwezi kulaumu maana kama yeye angependa sex kiasi hicho ulichoandika wewe mimi ningemchoka mapema na nisingefurahia,tatizo linakuja pale mwanaume anajifanya yuko buuusy,anaachukulia mapenzi kwake ni ziada tu! Halafu muda huo wewe unataka kumpa kitu roho inapenda!
 
Too theoretical
Hili ndo neno la majumuisho katika hadithi hii!! Haya maisha si kwaajili ya routine za kitanzania. Mtu anaamka kuwahi daladala asubuhi saa kumi alfajiri anarudi nyumbani saa mbili usiku. Chumba kapanga kama ana uwezo kiasi vyumba vitatu watoto wa kiume na wakike kisha baba na mama. Huo muda mara sex in mpaka kqenye dari utoke wapi? Mara jiushe na miksiba na mikutano hata kwa unaowafahamu. Ukiwa ulaya haya yanawezekana kwa vile hata mahali pa kukutana na marafiki hakuna mwenye muda nawe. Sisi Afrika tunayaishi mata,shi ya Aristotle kuwa we are social animals! Kaa na marafiki ndugu jamaa kwa amani. Sex za mchana mara mtu ndo katoka kazini wapi na wapi!!
 
Great!!!!!!!!!!
 
HIV inakuaje msichana kabla hujamuoa anakuwa hot kila siku unapo kutana

But ukimweka ndan ni kama sijui nieleze VIP yaan

Unaweza kuta wiki inapita hana hamu nasex. HV tatizo nini haswaa??

Maana unajikuta unabaka Tuu kila ukiwa nahamu..*****
Du! Pole mkuu. Hata hivyo inategemea na lady ulonae.
 
Ujumbe nzuri sana, kama wanawake mnaelewa mwanaume huwa anaoa ili apate hiyo sex muda anaojisikia, sasa kuna wengine kabla hajaolewa anatoa sex bila shida akiolewa tu anaanza mashart ooh usinifanye kila siku nitachakaa eeh aliyesema sex inachakaza nani? Hao machangudoa wanasex na wanaume zaid ya wawili kila siku mbona hawachakai??
 
Be a wife not a room mate! what a reminder, Thanks so much.........
 
Hizi lugha za wenzetu hiz kazi saaana .......inabidi nimtafute ras simba
 
Sex ni nzuri ila not overdoing it. At least twice throughout the day mko na mood ila sio kila siku aisee. Hii iko practical kwa mwanaume ambae anahitaji S.O.D (sex on demand)

Its considered fair & healthy ikifanyika mara 3 kwa week unless otherwise kwa walio na sex drive ya hali ya juu then mnaweza kuwa na nyongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…