Mkuu jiandae kisaikolojia, kwanza utalipa sana fain, pili gari lina njaa sana hilo. Ila ni zuri na imara pia halina mshindani barabarani, kitu 240km/hr
Gari hii haina CC zaidi ya 4000 bali inakuja na option mbili ya Kwanza ni 2.4 L 2AZ-FEI4 na ya pili ni 3.5 L 2GR-FEV6
Kwahio kwenye Hizo Gari hakuna yenye zaidi ya cc 3500 na Gari hizi zimeanza kutengenezwa kuanzia mwaka 2007 mpaka 2013 na gearbox yake ni CVT with 6 Speed Automatic Gears