comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,424
- 17,200
UnakaA mwanzo mwanzo bro kila nyuziUSIWAAMINI WAREMBO WA MTANDAONI...OVA
AseeeKumbe sura nzito kama uji wa mgonjwa
Usikute na yeye kaenda kukuanzishia uzi sehemu wa kukuponda.... NAKANDAMIZIA.... Kwanza jamaa sijui jogoo hapansi mtungi..!!?? Maana kaniita nimefunga safari kaishia kunipa nauli ya kurudi..!!! Hutu timwanaume twa kutiamini miitandaoni ni shida sana...MWISHO WA KUKANDAMIZIAAseee, Mimi ndie.
FREE ERICK KAFLAG!
Eeebana! last weekend niliamua kumeet na mwanamke mmoja hivi niliechat nae mtandaoni kwa mda kama mwezi hivi (sio JF), wakati tunaongea kwa phone asee mtoto ana sauti nyororo iliyokua inapelekea nyoka wangu kutoka pangoni.
Nilivyokutana nae sikuamini!, Msee wangu, kumbe uzuri ule yalikua ni mapicha tuu na camera 360, ma edit kibao mazeee!
Duh! KwanzA ana umbo namba 9, sura ya kawaida sana alongside Bonge ya ziwa kama dafu mazeee!
Duh! Ebana tunaharibiana nauli punguzeni kujiedit mitandaoni,aaaagh!
Minikaona nimpe tuu nauli asepe zake asee nikamwambia Nina emergency, maana alikua amekuja kwa ajili ya kuliwa.
Aaah ila mtandaoni sasa kila demu mzuri mazee, ujuaji mwingi kumbe ni wa kawaidaaaa!!
Weka picha yako hapa tuone kama wewe u mzuri....maana isijekuwa 'nyani haoni kundule'
Kwani hicho sio kitu ?Duh! KwanzA ana umbo namba 9, sura ya kawaida sana alongside Bonge ya ziwa kama dafu mazeee!
Mwanaume anajifiAjw uzuri??Na hili ndio tatizo, mwanaume mzima unajisifia kukimbia mbunye kisa sura na Shepu, ni matumizi mabaya ya urijali
[emoji23][emoji23][emoji23] sielewiKwani hicho sio kitu ?
Mbona haya maombo ni vitu vya kawaida kwa dada zetu pande za nyanda fulani.., sasa unataka waende kwa nani ?, Mkuu someone poison is others meat....., cha muhimu chagua kikufaacho mengine waachie wengine.. (by the way hizo camera zilipunguza ukubwa wa kifua ?)
OkUmesahau kutuambia ...umemtumia mivocha, umelipa minauli pole Kaka mwanzo mgumu
Usikute na yeye kaenda kukuanzishia uzi sehemu wa kukuponda.... NAKANDAMIZIA.... Kwanza jamaa sijui jogoo hapansi mtungi..!!?? Maana kaniita nimefunga safari kaishia kunipa nauli ya kurudi..!!! Hutu timwanaume twa kutiamini miitandaoni ni shida sana...MWISHO WA KUKANDAMIZIA
Mwanaume anajifiAjw uzuri??
Mzee wangu, mwanaume inatakiwa awe mzur?Weka picha yako hapa tuone kama wewe u mzuri....maana isijekuwa 'nyani haoni kundule'
Silagi mizoga, kama unataka namba zake nakusukumia tuu PMNyie ndio mnatufanya kupewa mbunye inakua ngumu, siku nyingine mpige mashine vizuri uje ulete feedback hapa
Haya maneno na yeye ANAYASEMA huko alikoHata akisema hivyo ni sawq tuu, mimi silagi mizoga naipotezea
KATIKA HALMASHARI YANGU YA UBONGO, KUNA KITENGO CHA TBS, KAMA DEMU HAJAKIZI VIGEZO NAMKATAA MZEE WANGUNa hili ndio tatizo, mwanaume mzima unajisifia kukimbia mbunye kisa sura na Shepu, ni matumizi mabaya ya urijali
Sio mbaya mzee, katika list yangu nisingeweza kumuwekaHaya maneno na yeye ANAYASEMA huko aliko