Wakati US anaandamwa na KORONYA na MAANDAMANO ambayo yanaonekana kabisa sio yakawaida UCHINA kule wanaendelea naharakati zao kama kawaidaDhambi ya ubaguzi haijamuacha mtu Salama, CORONA + MAANDAMANO vimeigharimu sana Marekani
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Laana inawatafuna, wanapofanya machafuko kwenye nchi za watu Mungu anawatia adabu apa duniani kwanzaWakati US anaandamwa na KORONYA na MAANDAMANO ambayo yanaonekana kabisa sio yakawaida UCHINA kule wanaendelea naharakati zao kama kawaida
Mshana Jr nakumbuka aliwahi kuleta uzi wenye kichwa cha habari Marekani haitamalaki kwenye Utukufu alimaanisha
Mpaka akili iwasimame waone yale madhila wanayowatwisha wenzao yanakua nautamu naladha gani.....Laana inawatafuna, wanapofanya machafuko kwenye nchi za watu Mungu anawatia adabu apa duniani kwanza
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
... Marekani ni taifa la kidemokrasi sana. Ingekuwa China au kule kwingine saa hizi ambulance zingekuwa busy kuzoa maiti za wananchi waliouliwa kwa risasi za polisi na jeshi mitaani kwa amri ya serikali. Texas na state gani huko polisi wamewapigia wanachi magoti kuomba samahani; umewahi kuiona wapi hiyo?
... wewe endelea kuhisi ni unafiki Mkuu; ila kwa unyenyekevu mkubwa wameomba samahani kwa "the people". China au Iran hayo yapo? Tulia ujifunze maana halisi ya demokrasia kwa vitendo kutoka kwa baba wa demokrasia - taifa la Marekani.Wameona kitaendelea kunuka, wazungu nchi yao ichafuke ila wanapenda nchi za watu zichafuke, hao askari wanaopiga magoti ni wanafiq tu sio kwamba wanafanya ivyo eti kwa heshima
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Mbona HONGKONG hatukuona Hizo gari zakubebea wagonjwa zikibeba wagonjwa ?!... Marekani ni taifa la kidemokrasi sana. Ingekuwa China au kule kwingine saa hizi ambulance zingekuwa busy kuzoa maiti za wananchi waliouliwa kwa risasi za polisi na jeshi mitaani kwa amri ya serikali. Texas na state gani huko polisi wamewapigia wanachi magoti kuomba samahani; umewahi kuiona wapi hiyo?
Utaiona demokrasia soon ww ngojea tu [emoji23][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2]... wewe endelea kuhisi ni unafiki Mkuu; ila kwa unyenyekevu mkubwa wameomba samahani kwa "the people". China au Iran hayo yapo? Tulia ujifunze maana halisi ya demokrasia kwa vitendo kutoka kwa baba wa demokrasia - taifa la Marekani.
Baba wa democrasia huyu alieuwa na kutia ulemavu mamilioni ya watu Japan, Iraq, Afghanistan [emoji23]... wewe endelea kuhisi ni unafiki Mkuu; ila kwa unyenyekevu mkubwa wameomba samahani kwa "the people". China au Iran hayo yapo? Tulia ujifunze maana halisi ya demokrasia kwa vitendo kutoka kwa baba wa demokrasia - taifa la Marekani.
Demokrasia ipi hiyo Askari wanauliwa na masinipa?,,hakunaga Cha demokrasia,,wanajua wakitumia nguvu kubwa na watu wafe wanarisk uwepo wa civil wars,wamarekani kibao Wana silaha na Ni haki yao kijkatiba kuwa na silaha... Marekani ni taifa la kidemokrasi sana. Ingekuwa China au kule kwingine saa hizi ambulance zingekuwa busy kuzoa maiti za wananchi waliouliwa kwa risasi za polisi na jeshi mitaani kwa amri ya serikali. Texas na state gani huko polisi wamewapigia wanachi magoti kuomba samahani; umewahi kuiona wapi hiyo?
Hahahaha huyo jamaa watwitani hapo nimemuelewa mnooo makavu laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji2]Baba wa democrasia huyu alieuwa na kutia ulemavu mamilioni ya watu Japan, Iraq, Afghanistan [emoji23]View attachment 1467742View attachment 1467743View attachment 1467746View attachment 1467748
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
HahahahaHahahaha huyo jamaa watwitani hapo nimemuelewa mnooo makavu laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji2]
Unasifia demokrasia kwenye hayo maandamano hali ya kuwa hayo maandamano yanatokana na vifo vya watu weusi kuuliwa na polisi na haki haitendeki.... Marekani ni taifa la kidemokrasi sana. Ingekuwa China au kule kwingine saa hizi ambulance zingekuwa busy kuzoa maiti za wananchi waliouliwa kwa risasi za polisi na jeshi mitaani kwa amri ya serikali. Texas na state gani huko polisi wamewapigia wanachi magoti kuomba samahani; umewahi kuiona wapi hiyo?