Trump yuko sahihi kabisa, Ulaya waache kubania pesa kwa ajili ya usalama wao, haiwezekani mtu atoke maili nyingi kuja kuwalinda kwa gharama zake wakati wenyewe wamekaa tu hilo halikubaliki hata kidogo.
It's the end of the honeymoon meaning the defence frugal Europeans will now have to learn to stand on their own feet. The die is cast.