Enzi za Mwaikimba, Smg, Mexime, Nizar, ShindikaNgassa mapunda tegete
Kwa hiyo list, waliosema Maximo alikuwa anaichukia Simba walikuwa sahihi.Enzi za Mwaikimba, Smg, Mexime, Nizar, Shindika
Maximo alikuwa akiamua kumpenda mchezaji atampenda hasa.....na atalindwa kwa gharama yeyote hata kama ni wa hivyohivyo tu.
Na akishamchukia mtu amemaliza......wala hataki hata kumuongelea.
Vipenzi wa maximo walikuwa
Ivo Mapunda, Fuso, Tegete, Makasi, Nditi na Nurdin Bakari.
Wabaya wake
Kaseja, Boban, Chuji, Emmanuel Gabriel
Akili haizeeki ila nguvu hupunguaNahisi kama vile ni mzee sana kumudu kukimbizana na vijana, au macho yangu yananidanganya?.
===
Miaka kadhaa tangu aondoke kwenye ramani ya soka la Tanzania, kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo ameibuka upya baada ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Maximo amechukua mikoba ya Kally Ongala ambaye aliondolewa kwenye klabu hiyo kutokana na mwenendo mbovu wa kikosi hicho mwanzoni mwa mwezi Mei mwaka huu.
Maximo anakumbukwa zaidi kwa kipindi chake akiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars ambaye aliiwezesha timu hiyo kufuzu Michuano ya CHAN kwa mara ya kwanza mwaka 2009.
Mkuu hivi hizi bafasi makocha wanaziomba au wanafwa kutokana na ubora wao kwa wakati huo au historia zao?Nahisi kama vile ni mzee sana kumudu kukimbizana na vijana, au macho yangu yananidanganya?.
===
Miaka kadhaa tangu aondoke kwenye ramani ya soka la Tanzania, kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo ameibuka upya baada ya kutambulishwa rasmi kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya KMC inayomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni.
Maximo amechukua mikoba ya Kally Ongala ambaye aliondolewa kwenye klabu hiyo kutokana na mwenendo mbovu wa kikosi hicho mwanzoni mwa mwezi Mei mwaka huu.
Maximo anakumbukwa zaidi kwa kipindi chake akiwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars ambaye aliiwezesha timu hiyo kufuzu Michuano ya CHAN kwa mara ya kwanza mwaka 2009.
Afanye mpango awachukue hao bila kumsahau Nsajigwa😁😁Ngassa mapunda tegete
Kuna wanaombwa na kuna wanaofuatwa...nina hakika Maximo kafuatwa.Mkuu hivi hizi bafasi makocha wanaziomba au wanafwa kutokana na ubora wao kwa wakati huo au historia zao?
🤣🤣🤣 hapana brazaKwa hiyo list, waliosema Maximo alikuwa anaichukia Simba walikuwa sahihi.
MwaikimbaNgassa mapunda tegete
Mexime sio kocha tena wa Dodoma jiji fc, katimuliwa janaMaximo alimfundisha mecky mexime. Mecky atakosa adabu kama timu yake itaifunga timu ya kocha wake.
Nidhamu muhimuEnzi za Mwaikimba, Smg, Mexime, Nizar, Shindika
Maximo alikuwa akiamua kumpenda mchezaji atampenda hasa.....na atalindwa kwa gharama yeyote hata kama ni wa hivyohivyo tu.
Na akishamchukia mtu amemaliza......wala hataki hata kumuongelea.
Vipenzi wa maximo walikuwa
Ivo Mapunda, Fuso, Tegete, Makasi, Nditi na Nurdin Bakari.
Wabaya wake
Kaseja, Boban, Chuji, Emmanuel Gabriel
Ongezea Amir MaftahEnzi za Mwaikimba, Smg, Mexime, Nizar, Shindika
Maximo alikuwa akiamua kumpenda mchezaji atampenda hasa.....na atalindwa kwa gharama yeyote hata kama ni wa hivyohivyo tu.
Na akishamchukia mtu amemaliza......wala hataki hata kumuongelea.
Vipenzi wa maximo walikuwa
Ivo Mapunda, Fuso, Tegete, Makasi, Nditi na Nurdin Bakari.
Wabaya wake
Kaseja, Boban, Chuji, Emmanuel Gabriel
Hata asingefukuzwa, alishajiendea zake Mtibwa,,Mexime sio kocha tena wa Dodoma jiji fc, katimuliwa jana
Kwa Cv yake atapataKwahiyo una uhakika hatapata timu ingine