Richie the1
New Member
- Aug 25, 2014
- 3
- 6
Kisamvu cha kisimiri kule juu Hatar snaKwanza ungetulia kisha ungetueleza hali halisi na nini kilitokea, basi liliharibika au lilikatisha safari na kurudi Arusha? Na mizigo ni ipi, ya kisamvu cha mlima Meru? Ndiyo sababu waliogopa kuja nanyi mpaka Dar? Mlishushwa kwa nguvu au mliteremka wenyewe kwa usalama wa kisamvu chenu? Aisee mbona maswali ni mengi mno na ninahofia hautaweza kuyajibu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi moshi kumbe kuna kisamvu mkuu nilikuwa sijui alafu hawa ndugu zetu wanakula kumbe kisamvuKwanza ungetulia kisha ungetueleza hali halisi na nini kilitokea, basi liliharibika au lilikatisha safari na kurudi Arusha? Na mizigo ni ipi, ya kisamvu cha mlima Meru? Ndiyo sababu waliogopa kuja nanyi mpaka Dar? Mlishushwa kwa nguvu au mliteremka wenyewe kwa usalama wa kisamvu chenu? Aisee mbona maswali ni mengi mno na ninahofia hautaweza kuyajibu.
Halitoki Moshi, basi linaanzia safari Arusha, Marangu Coach ni jina tu wala haliijui njia ya Marangu. Huko Arusha mzigo wa kisamvu cha mlima Meru kina bei nzuri sana wanakipakia njiani na kushusha hivyohivyo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi moshi kumbe kuna kisamvu mkuu nilikuwa sijui alafu hawa ndugu zetu wanakula kumbe kisamvu
Hizo ni stori mabasi watu watapanda na biashara itaendelea,treni ipo miaka ya kwenda kigoma na mwanza mabasi yapo na yanajaa kila siku mwz to darDelux train za abiria dar to Moshi soon zinaanza, huo ndio utakuwa dawa ya kudumu na bei nafuu na iko faster na huduma nzuri ndani meanzo mwisho. Kama hawana customer care next month wakaanze kutafuta kazi nyingine za kufanya au biashara zingine kwa suluhisho la kudumu JPM ameshaliona na kulifanyia kazi, rupate deluxe yetu.
Endelea kwenda bank kuchukua mikopo ya kununua mabasi Kama next year hutaokota makopo mjiniHizo ni stori mabasi watu watapanda na biashara itaendelea,treni ipo miaka ya kwenda kigoma na mwanza mabasi yapo na yanajaa kila siku mwz to dar
Hivi hilo Dubwana linatumia siku ngapi kufika moshi,kwani nimeanza kulifikiria Decemba hii. Nijulishe mkuu usikute litakaa njiani siku mbili nikala poketi money yote.Delux train za abiria dar to Moshi soon zinaanza, huo ndio utakuwa dawa ya kudumu na bei nafuu na iko faster na huduma nzuri ndani meanzo mwisho. Kama hawana customer care next month wakaanze kutafuta kazi nyingine za kufanya au biashara zingine kwa suluhisho la kudumu JPM ameshaliona na kulifanyia kazi, rupate deluxe yetu.
trip ya kutumia masaa mawili kwa basi treni itatumia masaa nane, so mtoa mada kwenye hili akae kimya.Hizo ni stori mabasi watu watapanda na biashara itaendelea,treni ipo miaka ya kwenda kigoma na mwanza mabasi yapo na yanajaa kila siku mwz to dar
Kuna tatizo ninaliliona akilini kwangu.waliozaliwa kuanza mwaka 1973 Hadi Sasa hawajawahi kupanda train ya kuja kaskazini kwa Tanzania, hawajui inapita wapi na hawajui raha ya train lands Kama wamekwenda Kanda ya Kati kwa train au nje ya nchi.vinginevyo watatoa kila neno kuhusu train tunayozungumzia.hata wakataji wa ticket za mabasi kuelekea kaskazini au dar hawajawahi kupanda train.hili ni tatizo kubwa na ni vugumu muelewa tunachoongea.ushauri , wasubiri Xmas ya mwaka huu dar to Moshi wataisoma namba.trip ya kutumia masaa mawili kwa basi treni itatumia masaa nane, so mtoa mada kwenye hili akae kimya.
Weka pichaKuna basi moja la marangu lina mtoto mmoja mkali sana. Ananifanya nilitumie sana gari lao bila kujielewa.
Weka picha
Nb;ya huyo mtoto,sio hilo basi