PostGE2025 Marafiki wapya wa Samia baada ya Uchaguzi Mkuu, wataweza kusapoti miradi ya utunzaji wa mazingira kweli?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,439
Reaction score
6,691
Wakuu,

Tushazoea kuona nchi za Ulaya, Marekani ambao walikuwa ni partners wetu wa maendeleo kwa muda mrefu wakiwa wanajali kuhusu mazingira

Kuna projects nyingi sana ambazo zilianzishwa na nchi za Kimagharibi regarding mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Lakini kutokana na yale yaliyotokea kwenye Uchaguzi it seems nchi za magharibi hazitaki ushirikiano na Samia sasa najiuliza hawa marafiki wa sasa Samia je wataweza kuwa makini na ishu za mazingira kama nchi za kimagharibi,

Hapa naongelea China, Dubai na nchi za kiarabu. Wataweza kweli kuleta initiatives za kimazingira?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…