Marafiki wa kike baadaye tuoane nipo Dar

Fipaman

New Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
3
Reaction score
1
_**Habari, kwajina naitwa jonas Nina umri wa miaka 33-40
natafuta mke wa kuoa.
Naishi Dar Kwa Sasa,
Mwanamke awe n'a miaka 36-42.
Sina ubaguzi wowote karibu sana,
Ni pm Kwa mawasiliano zaidi.**_
 
_**Habari, kwajina naitwa jonas Nina umri wa miaka 33-40
natafuta mke wa kuoa.
Naishi Dar Kwa Sasa,
Mwanamke awe n'a miaka 36-42.
Sina ubaguzi wowote karibu sana,
Ni pm Kwa mawasiliano zaidi.**_
Wewe unatafuta kulelewa tu
 
mkuu bureini yako peleka gereji ifwanyiwe sevisi ina shida kidogo
 
_**Habari, kwajina naitwa jonas Nina umri wa miaka 33-40
natafuta mke wa kuoa.
Naishi Dar Kwa Sasa,
Mwanamke awe n'a miaka 36-42.
Sina ubaguzi wowote karibu sana,
Ni pm Kwa mawasiliano zaidi.**_
Kabla ya kusema zaidi (mimi sio ke lakini) naomba kujua neno UBAGUZI WOWOTE limesimamia jambo gani maana naona hapo umeshabagua umri.
 
Yaani huku jamvini wapo kina Dada wanaotafuta wenza wa kiume, na wapo waume wanaotafuta wenza wa kike...sasa sijui kwa kwa nini hamkutani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…