Naamin majibu yatakuwa mazurNimeketi hapa kwa dereva kuwasubiri wanaohusika na hili itakupasa dada uwe mvumilivu kwa majibu yoyote utakayopewa humu.
mungu huyu hawezi kukupa kibali....Naamin majibu yatakuwa mazur
Siyo yakuvunja moyo wala kukata tamaa
Nimeomba kibali mbele za mungu wangu aniepushe na majibu yakuudhi
Niombee pia
Lakini ameshasema hajasoma.mungu huyu hawezi kukupa kibali....
mungu=Mungu
Utapata Dada kuwa mvumilivu.Hbr zenu
Mie ni binti mwenye umri wa miaka 25 niko mbele zenu hapa
Natafuta kaz ya usafi maofficen
Migodini, au kaz yakujitolea kwenye vituo yva watoto yatima
Nina uzoefu nakaz hiyo niko mwanza
Niko tayar kufanya kaz
Sina elimu lkn nina ufahamu , na uwezo na bidii katik kaz
Mungu awabarik
Dharau kejeli sio nzur
Unaposema Una elimu ya kawaida ni ipi ? Jibu swali kadri ulivyoulizwa inawezekana aliyekuuliza hivyo ndy Boss wako anakufanyia Usaili. Nakushauri, Kama unatafuta kazi kwa hapo Mwanza, anza kutembea hoteli kwa hoteli, nyumba kwa nyumba, geti kwa geti mpaka kieleweke.Sjasoma nina elimu yakawaida
Aiseee ni balaaaaNimeketi hapa kwa dereva kuwasubiri wanaohusika na hili itakupasa dada uwe mvumilivu kwa majibu yoyote utakayopewa humu.
Asante kwa ushaur wakoUnaposema Una elimu ya kawaida ni ipi ? Jibu swali kadri ulivyoulizwa inawezekana aliyekuuliza hivyo ndy Boss wako anakufanyia Usaili. Nakushauri, Kama unatafuta kazi kwa hapo Mwanza, anza kutembea hoteli kwa hoteli, nyumba kwa nyumba, geti kwa geti mpaka kieleweke.