Umezidi uongo hadi unatuletea picha la treni ya zamani huko Urusi.aise mwenzako katoa alichokiona siku ya kwanza kupanda gogo na wewe mweleze siku ile unakuja na gogo na ukapokelewa na mkeo wa manzese.
Umezidi uongo hadi unatuletea picha la treni ya zamani huko Urusi.
Kama hukuwa na mada bora ungekaa kimya. Ila umeburudisha!?
Aliyekupokea wakati huna pa kukaa...!Mke wa Manzese tena mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema wasukuma wana mafurushi....???Jamani tujikumbushe kwa mliowahi kusafiri kwa treni,hizi treni zetu za dunia ya tatu..mimi ilikuwa natoka DODOMA kuelekea MWANZA,baada ya kukamilisha taratibu za tiketi ambayo nilikata wiki mbili kabla ya safari,nikaanza kuwa na mashaka na muda ulivyokuwa mrefu tangu nikate tiketi hadi kusafiri,ni jamaa yangu ndio alinishawishi,nilijuta..picha linaanza kufika station mizigo mikubwa kama suzuki,hivi wasukuma mna nini?yale mafurushi hadi leo sikuwahi kujua wamefunga nini,safari imeanza watu wamejaa balaa,kibaya zaidi ukiwa ndani ya treni hata haujui kama mbele ni wapi,yani haujui kama linaenda mbele au linarudi nyuma..,sitokuja kurudia kupanda treni tena,labda itokee hilo la magufuli likamilike nikiwa bado hai ndio nitapanda,ila hayo ordinary hapana aisee!View attachment 1054309