Mara Paap, UKIMWI hamna...

Boeing

Senior Member
Joined
Apr 16, 2017
Posts
151
Reaction score
422
Binafsi ntafurahi sana. Sitakuwa nagopa ogopa maana hapa nilipo kuna vitu vizuri hatari ila sasa ndo hivyo.
 
Sifurahi uwepo wa janga hilo la UKIMWI, binafsi.

Ila kwa mtazamo wangu, hilo janga ni hekima za mungu, kutuwekea mipaka kwa matendo tunayofanya, tutafakari, tujichunge, tujikinge na tujiepushe. Na kama tukiji rekebisha na kujiwekea mipaka ya matendo yetu litaisha na kutokomea hilo janga.

Bila hivo tungekua tunaishi kama wanyama.
 
Ukimwi sio mipango ya Mungu ndugu...!!kuh na vingi vmejificha kweny vyanzo vya magonjwa mengi ynayozkumba nchi za afrika
 
Mungu hapendi tuteseke
 
Mara paaaaap unaamka asubuh meno yako yote ya Mbele yamegeuka dhahabu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…