kila kitu kipo sawa avn to gpa 4.0 sema kada niliyopo (afya) system hii imetubagua sana watu wa diploma. Imagine UDOM MD with equivalent entry,chances zilikua 10 tu na selection zao hamna mtu aliyepata if not just one person, kwa mantiki hiyo walipiga chini hata hao kumi, Muhas kulikua na nafasi 20, Kairuki 24, Suza 05 tu