M mumie mumy Member Joined Nov 21, 2014 Posts 71 Reaction score 28 Oct 10, 2017 #21 Kasie said: Mkuu wa meza amegawa vikapu. ... kwa mikono yangu miwili nimepokea vikapu viwili kila mkono kikapu kimoja. Mapenzi yake aliye juu yafanyike koote. Eeeh ozalii. .. Click to expand... umependelewa sana mikono miwili wengine hata hicho kimoja hola basi uwe na muda mzur kumshukuru Mungu wako mkuu
Kasie said: Mkuu wa meza amegawa vikapu. ... kwa mikono yangu miwili nimepokea vikapu viwili kila mkono kikapu kimoja. Mapenzi yake aliye juu yafanyike koote. Eeeh ozalii. .. Click to expand... umependelewa sana mikono miwili wengine hata hicho kimoja hola basi uwe na muda mzur kumshukuru Mungu wako mkuu
mwampepec JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 487 Reaction score 237 Oct 10, 2017 #22 piga magoti tusali