Maumivu yakikuzidia chomoa mwiko nyuma zezeta la utopolokwinyoAhoua ni chezaji hatari sana hasa kwa kupiga penati na faulo aendelee kuwepo hapo umbumbumbuni bila kupewa thank you kwa misimu mingine mitano..
Aunt nyenye unapenda hogo wewe sasa hapa ndio kwa bigwa wa kupiga hogo ntakupiga hogo mpaka ushindwe kuchekaMaumivu yakikuzidia chomoa mwiko nyuma zezeta la utopolokwinyo
Sasa wewe shoga unaleta habari za hogo au unataka nikujaze mimba binti mremboAunt nyenye unapenda hogo wewe sasa hapa ndio kwa bigwa wa kupiga hogo ntakupiga hogo mpaka ushindwe kucheka
Na msimu huu hovyo kabisa..Huo ujinga wafundisheni matawi yenu Dodoma Jiji,Singida black stars sio simbaMutale ni mchezaji mzuri
Sema hapo umbumbumbuni Huwa Kuna makelele
Coach Fadlu ashaona kitu kwake
5imba jifunze Kwa Yanga
Kipindi anafika Aziz ki tulimvulia sana msimu uliofuata akawa top scorer
Dube mechi zaidi ya 10 hafungi ila Sasa kila mechi anatupia
Nasikia harufu ya mavi humu ila mim ndio nzi ntakubanjua mpaka ukicheka usipokua makini unatoka utumbo njeeSasa wewe shoga unaleta habari za hogo au unataka nikujaze mimba binti mrembo
Mutale hana rekodi zozote za maana zinazo mbeba hata alipo kuwa huko kwao zambia, na nilishangaa ni kipi kiliwavutia viongozi wa Simba mpaka waka msajili.Acheni kumuandama Mutale.
Mutale hana ubovu huu ambao mnamsema.
Mutale ametoka kwenye majereha mpaka timu ya Taifa ilimrudisha kwasababu hakuwa fit.
Najua ndio kuna mistakes anafanya kiwanjani ila sio kama zinavyoimbwa huku mtandaoni.
Wakati anaopitia Mutale haufiki hata robo ya mateso aliyopitia Mpumelelo.
Itakuwa ni ujinga na maamuzi ya kimhemko kuhamaisha mchezaji atimuliwe based on tiny mistakes.
Hujui mpiraMutale hana rekodi zozote za maana zinazo mbeba hata alipo kuwa huko kwao zambia, na nilishangaa ni kipi kiliwavutia viongozi wa Simba mpaka waka msajili.
Kukaa na mchezaji wa kigeni anaye lipwa mshahara mkubwa kama Mutale hali yakuwa ameshindwa kuleta impact yeyote kwa timu ndani ya mechi zaidi ya 8 ni upumbavu wa kiwango cha juu.
Mpanzu ana muda mrefu bila kucheza na amecheza mechi bili tu tena kwa dakika chache lakini faida yake imeonekana jana bila ubora wa goli kipa angefunga magoli si chini ya mawili.
Kukaa hapa na kusubiria eti mutale atakuja abadilike utakuwa unajichanganya kwa sababu huo ndo uhalisia wa kiwango chake. Kuliko kumleta mutale bora mara 100 tungebaki na Saido alikuwa na impact uwanjani kuliko huyo mutale.
Mutale mzuri, saikolojikali tu nadhani hayupo sawaYani huyu mwamba wa zambia budo mutale wakati amefika alijitahidi ila baada ya hapo sasa imekua kila mpira ataopata ni atoe pasi mkaa mbovu au anyang'anywe mpira amekosa kabisa utulivu yani mkiwa uwanjani inakua kama vile anawakaba
Na fadlu naye anampenda sijui anaona kitu gani kwake ambacho wengine hatukioni ana papara zisizo na maana Leo sub yake ilikua ya hovyo kabisa kama ni kupewa muda kashapewa vya kutosha apewe tu thank you kwa maslahi mapana ya timu simba inahitaji wachezaji ambao tayari wapo tayari kutoa impact kwa timu na sio mtu anafika ndo mumpe muda ajipange
kuna wachezaji kama wakina karabaka hata benchi huwaoni ila mutale yumo inafikirisha kwakweli pia kwenye no 10 binafsi naona ahoua bado sana labda tulikua na matarajio makubwa kuliko uwezo wake au bado tunamfanisha na chama mnaosema takwimu zinambeba angalia takwimu zake ni za aina gani utakuta ni fouls penalty na kwenye mechi rahisi mkiwa na mechi ngumu anapotea kabisa hakupi kile ambacho tulitegemea walau
DIRISHA LIPO WAZI ATAFUTWE PLAYMAKER MWINGINE WA KUTOA CHANGAMOTO PIA MUTALE DAH AENDE TU KWAKWELI
Sisi hayo mambo hatufanyi, labda aje kwenu.tulimvulia
Mtani umenikamata kwenye typing error 😀🤣Sisi hayo mambo hatufanyi, labda aje kwenu.