Maporomoko ya udongo yaua zaidi ya 100 Myanmar

Pistol

Senior Member
Joined
Oct 13, 2015
Posts
194
Reaction score
86
Watu wanaokadiriwa kuwa 104 wamefariki dunia mjini Jade kaskazini mwa Myanmar baada ya kilima cha mgodini kudondokea makazi ya wachimbaji migodi waliokuwa wamelala.

Vijumba sabini vilifukiwa kwenye maporomoko hayo na kubaki vitano pekee kwa mujibu wa chombo cha habari cha cha Taifa.




Source:
CNN
 
hivi si ni nchi hii ambayo upinzani umeshinda?? Mungu awasamehe ili waendeleze nchi yao vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…