DJ NYUKI JF-Expert Member Joined Aug 12, 2013 Posts 370 Reaction score 89 Jul 16, 2015 #21 busar said: Mbunge Wetu kwa miaka mitano ijayo ni nduguyetu, Mahmoud Madenge kutoka CCM, msigwa rudi njombe kagombee Click to expand... Jina lenyewe Madenge..!! Msigwa atosha 2015-2020
busar said: Mbunge Wetu kwa miaka mitano ijayo ni nduguyetu, Mahmoud Madenge kutoka CCM, msigwa rudi njombe kagombee Click to expand... Jina lenyewe Madenge..!! Msigwa atosha 2015-2020
J jormo Member Joined Jul 9, 2015 Posts 54 Reaction score 7 Jul 16, 2015 #22 Hivi bado kuna watu wanafikiria jimbo la iringa! Kwa mwanya upi? Wakati PSM ndo huyooo, mtoto wa mkulima mwenyewe anamjua hilo ni jembe.
Hivi bado kuna watu wanafikiria jimbo la iringa! Kwa mwanya upi? Wakati PSM ndo huyooo, mtoto wa mkulima mwenyewe anamjua hilo ni jembe.
L L780 Senior Member Joined Feb 16, 2015 Posts 189 Reaction score 19 Jul 16, 2015 #23 Hata mie Zitto nilimkubali kwa baadhi ya mambo alipokuwa chadema . nje ya chadema sitaki hata kumsikia.
Hata mie Zitto nilimkubali kwa baadhi ya mambo alipokuwa chadema . nje ya chadema sitaki hata kumsikia.
Hakikwanza JF-Expert Member Joined Dec 11, 2010 Posts 4,043 Reaction score 1,012 Jul 16, 2015 #24 busar said: Mbunge Wetu kwa miaka mitano ijayo ni nduguyetu, Mahmoud Madenge kutoka CCM, msigwa rudi njombe kagombee Click to expand... Duh madenge? !!!!!!!!!!!!!!!! ???????????? awe kiongozi madenge kwi kwi kwi!!!!! kweli ccm ya kinamadenge na kobelo
busar said: Mbunge Wetu kwa miaka mitano ijayo ni nduguyetu, Mahmoud Madenge kutoka CCM, msigwa rudi njombe kagombee Click to expand... Duh madenge? !!!!!!!!!!!!!!!! ???????????? awe kiongozi madenge kwi kwi kwi!!!!! kweli ccm ya kinamadenge na kobelo
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 10,292 Reaction score 4,967 Jul 16, 2015 #25 Hakikwanza said: Duh madenge? !!!!!!!!!!!!!!!! ???????????? awe kiongozi madenge kwi kwi kwi!!!!! kweli ccm ya kinamadenge na kobelo Click to expand... hahahahah mku nimecheka kama wewe
Hakikwanza said: Duh madenge? !!!!!!!!!!!!!!!! ???????????? awe kiongozi madenge kwi kwi kwi!!!!! kweli ccm ya kinamadenge na kobelo Click to expand... hahahahah mku nimecheka kama wewe
justus ndyanabo JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 444 Reaction score 379 Jul 16, 2015 #26 nenda msigwa baba
M mtoto wa maskini JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 1,152 Reaction score 638 Jul 16, 2015 #27 Iringa naombeni uyo mtu arudi bungeni aisee hawa ndio wabunge tunaowataka msifanye kosa la kuleta CCM pleaseeeeee i wish ningekuwa mkazi wa iringa
Iringa naombeni uyo mtu arudi bungeni aisee hawa ndio wabunge tunaowataka msifanye kosa la kuleta CCM pleaseeeeee i wish ningekuwa mkazi wa iringa
I Ilungu Senior Member Joined Apr 11, 2015 Posts 195 Reaction score 60 Jul 16, 2015 #28 DJ NYUKI said: Jina lenyewe Madenge..!! Msigwa atosha 2015-2020 Click to expand... Madenge mwingine anaitwa Mandele ( wakili wa kujitegemea ) na Ilunga ( Papaa ) na Kampuni ya BASIN ilukuwa pale Quality plaza. Daaah! Usinikumbushe hata mmoja wao. Kweli MUNGU mkubwa
DJ NYUKI said: Jina lenyewe Madenge..!! Msigwa atosha 2015-2020 Click to expand... Madenge mwingine anaitwa Mandele ( wakili wa kujitegemea ) na Ilunga ( Papaa ) na Kampuni ya BASIN ilukuwa pale Quality plaza. Daaah! Usinikumbushe hata mmoja wao. Kweli MUNGU mkubwa
P papaupanga Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25 Reaction score 7 Jul 16, 2015 #29 Msigwa ni kichwa ukimchanganya na Kafulila aaah ni sheeedah
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 137,664 Reaction score 272,505 Jul 16, 2015 #30 msigwa kiboko ya wanafiki iringa , mwakalebela endelea na ukuu wa wilaya uvae suti mpya kila wiki .
N ngaona Member Joined Mar 27, 2012 Posts 15 Reaction score 1 Jul 18, 2015 #31 busar said: Mbunge Wetu kwa miaka mitano ijayo ni nduguyetu, Mahmoud Madenge kutoka CCM, msigwa rudi njombe kagombee Click to expand... Iringa mjini hatuwezi kuruhusu "akili ndogo itawale akili kubwa"
busar said: Mbunge Wetu kwa miaka mitano ijayo ni nduguyetu, Mahmoud Madenge kutoka CCM, msigwa rudi njombe kagombee Click to expand... Iringa mjini hatuwezi kuruhusu "akili ndogo itawale akili kubwa"