Marais waliokuwa wakitawala Marekani walikuwa weupe. Sasa wamarekani wakaamua kumchagua mzee wa mabadiliko Obama mweusi, sawa!? Matokeo yake wanajutia uamuzi wao, sawa sawa? Wabongo nao wasifanye kosa kumchagua mzee wa mabadiliko Lowassa, sawa sawa? Hawatapata kile wanachokitarajia. OK, tumekuelewa, tutazingatia.