........................................Na Kisena Mabuba..................
Mtoto kike anapaswa kulindwa ilikufikia matarajio take au malengo yake. Changamoto anazokutana nazo ni nyingi sana katika kufikia ndoto zake.
Changamoto hizo zimekuwa mwiba kwa watoto wengi wa kike kufika ndoto zao. Zimekuwa ni ndoto kweli kwa wengi wao.
Baadhi ya changamoto hizo;
1. Mila na desturi, ambapo bado jamii inaamini mtoto wa kike ni:
a). Chombo cha kuzalisha Mali
b). Ni mtu wa kuolewa tu, na akisha olewa azae na kulea watoto tu.
c). Chombo cha starehe, kumstarehesha mwanaume.
d). Kiumbe dhaifu kisicho na mchango katika jamii yake, ni kiumbe cha kupokea amri kutoka kwa mwanaume.
e). Mama wa nyumbani anahitaji kuhudumiwa tu.
f). Mtoto ambaye anahitaji malezi ya Mme na ndugu zq Mme.