Tumeliwa Sana mikekaSalaam wana jamvi!
Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, napenda kuwapongeza sana watu wa Asia kwa mapinduzi makubwa sana walioyafanya kwenye mpira kwa kipindi cha miaka minne yalidhihirika kwenye WC hii
Wassalaam
Coaching, Strategies, tactics.Tatizo timu za Africa mara nyingi wnasahau ile kauli ya biashara asubh mahesabu jioni. Mechi za awali Cameron imedhihirisha Hilo, unaacha kukaza mechi za awali unakuja kukaza mechi na brazili. Same to Ghana, Senegal, Morocco.
Wanaujinga mwingi na hawana discipline ya mchezo.Tutengeneze wachezaji walioelimika.Majority wamejaa sifa za kijinga.Ni swala la muda kabla ya Afrika kufika fainali ya World cup. Ukiangalia ni timu zenye nguvu za asili. Kama Ghana,Senegal, Cameroon, Morocco, Tunisia.
Next world cup kutakuwa na timu 48. Waafrika wengi sasa hivi wanajiamini, of course Wana uwezo Kwahiyo ni swala la coaching, miundombinu, tactics.
Asia wamewaiga Ulaya vigumu kushinda world cup sasa hivi bila weusi. They are much more motivated, committed, serious than indigenous people. They have point to prove.
Hususani Morocco japokuwa sio timu ya Asia ni ya Africa ila ni waarabu wao wamejitahidi wachezaji wao wengi sana wanacheza ulayaSiri ni kuwa na wachezaji wanaocheza ligi ulaya. Sio ligi za ndani kwa Asia na Afrika.